mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Halafu wanataka kuongeza majimbo ! Wanasiasa siyo kabisa. Yafaa majimbo yawe kila mkoa ni jimbo la wabunge wanne tu, KE-2 na ME-2 na mishahara ipunguzwe iwe walau 5m tu !Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?
Tulipaswa kuyapunguzaHalafu wanataka kuongeza majimbo ! Wanasiasa siyo kabisa. Yafaa majimbo yawe kila mkoa ni jimbo la wabunge wanne tu, KE-2 na ME-2 na mishahara ipunguzwe iwe walau 5m tu !
Wanasaidia rais kukaa madarakani!Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?
Wao ndio watunga sheria na sera za nchi hivyo wamejipangia wenyewe Kwa sababu nchi HAINA mwenyewe.Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?
Bunge halitungi sheria, zinatungwa na serikali, Bunge linajadili na kupitisha miswada ya sheriaWao ndio watunga sheria na sera za nchi hivyo wamejipangia wenyewe Kwa sababu nchi HAINA mwenyewe.
WANANCHI WAMELALA USINGIZI WA PONO.
Kwani kwa sasa wanalipwa sh ngapi?Halafu wanataka kuongeza majimbo ! Wanasiasa siyo kabisa. Yafaa majimbo yawe kila mkoa ni jimbo la wabunge wanne tu, KE-2 na ME-2 na mishahara ipunguzwe iwe walau 5m tu !
Mbona hamsemi mnaishia kusema nyingi ngapi?Kwa kweli lazima tujitafakari aisee.... Wabunge wanalipwa pesa nyingi sana...
Wanawaibia na kuwahujumu wadanganyikaNchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?
Hapana ni criminalsNi wafanyabiashara
The World Is Totally Not Fair, Someone who works very hard somewhere always experience little payment compared to someone who is shouting out there without any expertiseNchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?
πππππ Piga mahesabu ya million 500 x wabunge 256... Hapa ni kustaafu..Mbona hamsemi mnaishia kusema nyingi ngapi?
Gentleman,Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.