PapoKwaPapo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 380
- 45
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa....
a)Matilda komu
b)Halima Mdee
C)John Mnyika
d)zitto Kabwe
e)Ndessa pesa
f)Tindu Lissu
Mwita Mwikabe
Mboye........na wengine wengu ahhhhh bila kumsahau mwana SUGU..
mwaka hu lazima tushikane mashati.... ubungo 2005 Mnyika alishinda ila akachezewa rafu, dis tym lazima kieleweka watake wasitake..
Statistics? Je wakishinda kwa kura nyingi na wasimamizi wa vituo wasipowatangaza?
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa....
a)Matilda komu
b)Halima Mdee
C)John Mnyika
d)zitto Kabwe
e)Ndessa pesa
f)Tindu Lissu
Mwita Mwikabe
Mboye........na wengine wengu ahhhhh bila kumsahau mwana SUGU..
Kwani wameshatangazwa na Tume ya taifa ya Uchaguzi? jamani tuwe serious katika mabo haya huu mzahazaha ndio unaotuletea matatizo haya tuliyo nayo. watu wataacha kwenda kupiga kura kwa kujua tayari wabunge wameshapatikana.Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa....
a)Matilda komu
b)Halima Mdee
C)John Mnyika
d)zitto Kabwe
e)Ndessa pesa
f)Tindu Lissu
Mwita Mwikabe
Mboye........na wengine wengu ahhhhh bila kumsahau mwana SUGU..