Hao ni kuwatengenezea petitions za kutosha, na hashtags, za
#wabunge_walipe_kodi
#wabunge_wasilipwe_pension
#wabunge_wapunguziwe_mishahara
Everyday is Saturday............................... π
da siku nyingi sana nilimissmstory zako sasa kijiwe cha vihepe ulikifunga?Nilikuwa kijijini ntwara nalimia korosho mkuu
Kodi gani ambayo mwananchi halipi hapa Tanzania? Au una maana ya kodi ya kichwa? Kilangila.Wanyonge nao wanataka HUDUMA BORA lakini hawataki kulipa kodi
zile petition na hashtags za maandamano ziliishia wapi?
Mwalimu akidai ongezeko la mshahara Ni right Mbunge akidai kitu kimoja na mwalimu Ni wrong hii nchi niya ajabu sanaNdiyo tuache kabisa hizi fikra binafsi ya kufikiri mbunge hastahili kuongezewa mshahara na posho kwa vigezo duni za uzalendo mtambue na kutathmini kazi kubwa wanazofanya kwenye majimbo
Ndugu, ushawahi kujiuliza?Wanyonge nao wanataka HUDUMA BORA lakini hawataki kulipa kodi