Wabunge wangali bado kupokea mshahara wa mwezi Machi

Wabunge wangali bado kupokea mshahara wa mwezi Machi

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Wabunge wa Kenya kutoka pande zote mbili, Bunge la kitaifa na Bunge la Seneti wanasherehekea pasaka bila ya mshahara wao wa mwezi uliopita, huku serikali ikiahidi kuwa ipo kwenye mchakato wa kuwatumia hela katika akaunti zao.

Haya yanafichuka wakati ambapo upinzani unazidi kudai kuwa serikali ya Rais William Ruto imefilisika kutokana na mzigo wa madeni mengi yanayoikodolea Kenya macho.

Mpaka kufikia sasa waliopokea mishahara yao ni Walimu, Maafisa wa Jeshi la Polisi pamoja na maafisa wa Jeshi la Ulinzi.
 
Back
Top Bottom