Wabunge wapendekeza Mtandao wa TikTok uondolewe PlayStore na App Store ifikapo Januari 19, 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Wabunge wawili wa kamati ya Baraza la Wawakilishi la Marekani nchini China wamewasilisha barua kwa kampuni za Apple na Google wakidai kampuni hizo zinatakiwa kuondoa Mtandao wa TikTok katika programu zao nchini humo ifikapo Januari 19, 2025 ila hatua hiyo haitakataza matumizi kwa watumiaji ambao tayari wamepakua na wanatumia mtandao huo.

Wabunge wamesema Mtandao wa TikTok unahatarisha Usalama wa Nchi kwasababu China inaweza kuitumia ByteDance kupata Taarifa Binafsi za Watumiaji hivyo unapaswa kufungiwa au kuuzwa na kumilikiwa na kampuni za Marekani

Aprili 24, 2024 Rais Joe Biden alisaini Muswada unaopendekeza kufungiwa kwa Mtandao wa TikTok unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China endapo itagoma kuuzwa na kumilikiwa na kampuni za Marekani
 
Ushindani wa kibiashara hauepukiki katika ulimwengu huu wa teknolojia.
 
TickTok sio nzuri kwa jamii zetu kwenye maadili ni vyema ikafungiliwa mbali huko
 
Back
Top Bottom