Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

 
Ma professor wengi na wahadhiri wa vyuo hata ofisi za kukaa hawana. Yaani elimu ya vyuo vikuu inakoelekea itakuwa kama shule za misingi. Ujinga huu umeasisiwa na sisi watanzania kupitia mifumo yetu.
 
Mhadhiri anamiliki Bar karibu na maeneo ya Chuo, hata akimuona mwanamfunzi wake anateketeza Boom kwenye bia hawezi muonya 😂😂😂😂😂
 
Tatizo la nchi hii watu wenye platform wanaoongea mfano wabunge ukiwaona unaweza kudhani wanadhamira ya kweli, wakati kiuhalisia wanaongea ili wasikike, wangekuwa serious (dhamira ya kweli),ninaamini uwezo wa kuchukua hatua wanao. Hebu lije jambo linalogusa maslahi yao, wanakuwa kitu kimoja na wakali, hakuna spika, waziri au kiongozi yeyote anayeweza kuwaeleza chochote wakaelewa. Kwa miaka ya hivi karibuni wamejenga madarasa mengi sana, sehemu zingine bila hats uwepo wa uhitaji, unakuta shule ina madarasa nane+ ambayo hayatumiki kabisa! Unajiuliza hawa watu wakati wanajenga did they have a little (if any) thought of teachers! Hapana, wakishughulika na Walimu mwananchi gani atakaye-take note , hivyo una-conclude tu kwa hefufi kubwa kwamba, NOTHING THAT IS NOT THEIR INTEREST IS OF ANY INTEREST.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kila sehem duniani watu weusi ndio huwa maskini kuliko race zingine na huwa wanabaguliwa kuliko makundi mengine? Na sababu haswa ya hali hii ni nini?
Ubinafsi na uchoyo umekita mizizi, wabunge wenyewe wangepunguza posho zao huenda hayo matatizo wanayoyasema yangepungua
 
Excellent!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…