Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sure, fedha zinatoka hazina na wao hawatoeapo panatafta kondoo wa kafara, stay tuned
Watu pale wanapiga hela kama vile waliziweka. Full janja janja. Boss wa pale full kula Raha. Daily safarini Nje huku V8 anazunguka nalo bi Mdogo Dodoma.Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha.
Baadhi ya mambo waliyoyataja ni pamoja na Bodi ya Mikopo kuchelewesha mikopo au kutoa mikopo kwa ubaguzi.
Wabunge hao wameonesha umuhimu wa elimu na hali za watanzania ambao ni vigumu sana kujilipia ada. Mbunge mmoja ametoa wito kwa Serikali kuwasomesha bure wanafunzi wanaopata divisheni one ili kuwapa motisha
Hapo ni zaidi ya urefu wa kamba mzeeWatu pale wanapiga hela kama vile waliziweka. Full janja janja. Boss wa pale full kula Raha. Daily safarini Nje huku V8 anazunguka nalo bi Mdogo Dodoma.
NB: Kuna Mkurugenzi wa Fedha kaajiri ndugu yake kama Secretary safari zote Lazima amuweke Tena anakua kwenye V8 wakati boss kapaa na Ndege anaenda kupokelewa KIA/Mwanza/Dom (airport)
Bodi inafutwa na nani?Nilishashauri muda mrefu hii bodi ifutwe, haina msaada wowote kwa elimu ya vijana wa kitanzania hasa watoto wa wanyonge badala yake imekuwa kero kwa kuwakosesha fursa ya elimu na kubambika madeni makubwa kwa hawa vijana, kijana anaanza kazi na deni la mil. 30......hii haiwezi kuwa sawa.