Wabunge wataka waongezewe fedha

hao MPs wanajisahau sana! lakini ndivyo tulivyo, we utaona next cycle haohao watarudishwa tena bungeni tena kwa landslide...........kaaazi kweli!!.
 
Eti wametoa agizo kwa serikali.
Mbona hawakutoa agizo serikali iboreshe maslah ya waalim?? Na mpaka sasa sijaoana wanachofanya Bungeni kwa maslahi ya Taifa zaidi sanasana kwa maslah ya serikali.
Hivi hizo milion 30 kama kiinua mgongo kwa kazi ya miaka mitano ya kukaa bungeni haiwatoshi?
Huu ni umaluuni na uhayawani wa kutuibia wananchi mchana kweupe
 
Mod,

Jana nilianzisha thread hiii na habari niliitoa katika gazeti la majira,na kwa bahati mbaya mmeitoa habari yangu na kuanganisha thread.

what is this??what was the problem?au mpaka Bubu au Mwanakijiji au Mwafrika wa kike waseme ndiyo ibaki.sijaipenda hii!!naomba mrudishe hoja yangu kwa upana na hata kwa kuiunganisha hapa!
 

Pundit kweli pundit, ingwa nadhani hiyo GDP per capita unayoizungumzia ni PPP, GDP per capita yetu ni aibu hata kuisema!

Hawa wanabembeleza, wanapiga magoti, wanatoa machozi, wanahonga na wengine wanaenda mpaka mlingotini ili waingie humo? Hivi wakifanya yote haya hawakujua mshahara na posho yao itakuwaje? kama hawaridhiki wangefanya kile ambacho wengine wanafanya, waachie ngazi na wawapishe ambao wataridhika! Wababaishaji watupu!
 
Ha Ha Ha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wabunge ndio wanashituka sasa hivi? Bora na wao wachukue chao mapema maana kila kiongozi ni Fisadi ukianza na JK mwenyewe, tangu alipochaguliwa hadi hivi sasa hakuna yoyote wa maana aliyefunguliwa mashitaka kutoka kwenye mikataba mibovu na uvunjwaji wa sheria na rafiki zake kama DITO et al.


Daini haki yenu mapema Tanzania inaliwa na wenye meno makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…