Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna mapungufu sana katika hii Tovuti
Arumeru Magharibi- CCM
Buchosa: CCM
Wamewezeswa kila kitu na UNDP, wamepewa laptop na scanner, kila jimbo ili wakishahesabu, watangulize matokeo kwa internet na baada ya hapo wascan na kutuma NEC. internet moderm zinazoshika mitandao yote!. Hizo computers ziko installed na spreadsheet za kujaza tuu matokeo na ukichakachua zitajua, wameziweka pembeni, sasa ni kuchakachua kwa kwenda mbele.Watakwambia wana wataalamu wachache wa IT