Wabunge wawe na ukomo wa kukalia kiti bungen

Wabunge wawe na ukomo wa kukalia kiti bungen

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Muda mwingine mabadiliko yatakuja kama tukibadilisha watu kwenye mfumo.

Kadri mbunge anavyokalia kiti anabweteka anakula maisha kwa mishahara ya mamilioni.

inakuaje mbunge anapokea pensheni halafu anarudi bungeni.

Basi kama vp kila mtumishi alipwe pensheni kila baada ya miaka 5

Hii nchi ni yetu sote kila mtu afaidi national cake
 
Wabunge nao ilipaswa 10 years kama uraisi. Japo hizi nafasi hazikupaswa kuonekana kama fursa, zilipaswa zionekane kama wito wa kizalendo.
 
Duh wazo zuri lakini labda angeweza kusema hivo Rais mbabe na dikteta.
 
Back
Top Bottom