Wabunge wazichapa live kwenye Seneti huko Mexico kisa Marekani

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Kikao cha Seneti ya Mexico kilivurugika Jumatano baada ya wabunge kushikana na kupigana kufuatia mjadala mkali kuhusu iwapo Marekani inapaswa kuingilia kupambana na magenge ya dawa za kulevya nchini humo.

Vurugu hizo zilikuwa kali kiasi cha kumwangusha mpiga kamera aliyekuwa akirekodi tukio hilo.

Alejandro “Alito” Moreno, kiongozi wa chama cha upinzani cha Institutional Revolutionary (PRI), alimsakama Gerardo Fernández Noroña, Rais wa Seneti kutoka chama tawala cha Morena, mara tu baada ya wabunge kumaliza kuimba wimbo wa taifa kuashiria kumalizika kwa kikao cha Jumatano.


Your browser is not able to display this video.

================================

A tense debate in the Mexican Senate descended into a brawl between two of the chamber's most senior politicians on Wednesday.

Senator Alejandro Moreno, of the opposition Institutional Revolutionary Party (PRI), grabbed the president of the Senate, Gerardo Fernández Noroña, demanding to be allowed to speak.

After some pushing and shoving, Moreno threw punches and a photographer who stepped in was injured.

Tempers had already been running high throughout the debate about the presence of armed forces from other countries on Mexican soil.

But it was not until after the national anthem had been sung that Senator Moreno, angry at not having been allowed to speak during the debate, physically clashed with Fernández Noroña.

The Senate leader said he would call an emergency session to propose expelling Mr Moreno and three other opposition lawmakers who joined in the fray.

Source: BBC News, Reuters
 
Upande upi unaunga mkono USA aje kupambana na magenge? upinzani au utawala
 
Kuna mmoja alikuja kuamulia ghafla akajikuta yupo chini
Wapinzani Afya ya Akili kama imefetuka kidogo !!!

uyu Mwabukusi kanywa chai ya Ikulu tu kaanza kumbwatukia Polepole wajinga ndio Waliwao siku zote!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…