Wabunge wazidi kumbana ADANI wataka aondolewe kwenye PPP ya Mfuko wa Bima ya Afya (SHA)

Wabunge wazidi kumbana ADANI wataka aondolewe kwenye PPP ya Mfuko wa Bima ya Afya (SHA)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfanyabiashara nguli na maarufu Duniani mh Adani ameendelea kubanwa kwenye viunga vya Africa Mashariki

Baada ya kuondolewa kwenye Mambo ya Umeme na Viwanja vya Ndege, wabunge wataka aondolewe kwenye PPP ya Mfuko wa Bima ya Afya SHA

Nawatakieni Sabato njema 😃

Pia soma:
 
Back
Top Bottom