Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you iko wazi kabisa miongoni mwao kutoka kwa wananchi wanao wawakilisha.
Na wote hao watakua replaced na wanachama makini, wasomi mbadala kwenye hazina ya wanachama mamilioni wa CCM imara.
Nawatakia kila la kheri wabunge wote wasomi na wachapakazi kwa kufanikiwa kukonga nyoyo za wananchi wenu majimboni. Maendeleo na mabadiliko kwenye maisha ya wananchi wenu yanaonekana.
Kiukweli mmeupiga mwingi sana.
Soma Pia:
Well done Dr.Samia Suluhu Hassan for the theory na kwa kuonyesha njia.
Hello dar es salaam once again.🐒
Mungu Ibariki Tanzania

- Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Well done Dr.Samia Suluhu Hassan for the theory na kwa kuonyesha njia.
Hello dar es salaam once again.🐒
Mungu Ibariki Tanzania