johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa
Mlale Unono 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani Shujaa? 🐼😂Lakini Mzee wako si ndio aliwapa wakina Babu Tale na GwajiBoy
Kenya ufisadi uko juu mnoNi hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa
Mlale Unono 😀
Ila jamaa unazingua sanaNani Shujaa? 🐼😂
Unaelewa maana ya Seneti? 😂😂Kenya ufisadi uko juu mno
Mkataba umesainiwa wa kimataifa halafu local court inavunja mkataba
Hiyo pesa ya kuvunja mkataba Kenya italipa malilioni ya dola mafisadi na huyo mwekezaji wagawane pesa za kigeni
Wanajua kabisa mahakama za biashara za kimataifa Kenya itashindwa na mwekezaji atalipwa millions of dollars kuvunja mkataba wagawane
Hiyo kesi ni ya kifisadi tu watu wapige pesa
Naelewa mikataba ya biashara za kimataifa huamriwa na mahakana za kimataifa sio bunge la nchi liwe senate or whateverUnaelewa maana ya Seneti? 😂😂
Kama ufisadi Kenya uko juu basi hapa Tanzania Uko juu zaidi yao. Wao wana Bahati wana Wabunge na Mahakama zinazojitambua na kujitegemea. Hapa kwetu Bongo Awamu hii Ruksa Kila Mtu Kula kwa Urefu wa Kamba Yake. Hata huwezi kusikia mambo haya yakitajwa wala kukemewa na wenye Mamlaka, Heri kipindi cha Jembe ! Watendaji walafi walikuwa wakitumbuliwa bila hata kupata kwanza Ganzi.Kenya ufisadi uko juu mno
Mkataba umesainiwa wa kimataifa halafu local court inavunja mkataba
Hiyo pesa ya kuvunja mkataba Kenya italipa malilioni ya dola mafisadi na huyo mwekezaji wagawane pesa za kigeni
Wanajua kabisa mahakama za biashara za kimataifa Kenya itashindwa na mwekezaji atalipwa millions of dollars kuvunja mkataba wagawane
Hiyo kesi ni ya kifisadi tu watu wapige pesa
labda wakajifunze ukabila mikataba ni unafiki tu Kenya..Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa
Mlale Unono 😀
Hakuna Mikataba Mibovu Kenya , ndo maana unaona inavunjwa na mingine kurudiwa kama kuna waliokula rushwa katika kuipitisha, wao wana Vyombo na Mihimili inyojitegemea na yenye Meno, siyo kama kwetu huku. Wanachi pia ndo wenye Mamlaka ya mwisho wakikataa jambo haliendi mbele. Uliona Serikali ilivyofyata Mkia kwenye Ubinafsishaji wa Bandari ya Mombasa na sasa Uwanja wa Ndege wa JKI Nairobi? Kwetu DP ilihonga iklpata Bandari zetu zote regardless ya kelele zote hizi kuonyesha madhaifu , pasipo kuwa na ridhaa ya wananchi Serikali ikaziba masikio kama Chura Viziwi.labda wakajifunze ukabila mikataba ni unafiki tu Kenya..
unafahamu mkataba wa kimwarer dam na ule wa sgr?
unafamu mkataba wa mbolea fake uliomtia matatani na akataka kubanduliwa na bunge waziri wa kilimo Mithika Linturi?
wakajifunze mikataba mibovu na ya hovyo hovyo inayo nuka rushwa anayo ibainisha waziri wa madini Ali Hassan Joho?
au wakajifunze mikataba na matumizi babaya ya mamlaka kwa mfano yanayomfanywa Governor Kawira Mwangaza ambae kwa mara ya3 sasa ananusurika kua impeached..
nadhani cha kujifunza kenya ni ukabila na kununua chopa binafsi kwa rushwa 🐒
Sawa kabisa waende Tabu Tale,Kibajaji, Dr Msukuma na yule mama wa Iringa,watarudi na kitu.Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa
Mlale Unono 😀
labda unazungumzia kenya ya nje ya East Africa,Hakuna Mikataba Mibovu Kenya , ndo maana unaona inavunjwa na mingine kurudiwa kama kuna waliokula rushwa katika kuipitisha, wao wana Vyombo na Mihimili inyojitegemea na yenye Meno, siyo kama kwetu huku. Wanachi pia ndo wenye Mamlaka ya mwisho wakikataa jambo haliendi mbele. Uliona Serikali ilivyofyata Mkia kwenye Ubinafsishaji wa Bandari ya Mombasa na sasa Uwanja wa Ndege wa JKI Nairobi? Kwetu DP ilihonga iklpata Bandari zetu zote regardless ya kelele zote hizi kuonyesha madhaifu , pasipo kuwa na ridhaa ya wananchi Serikali ikaziba masikio kama Chura Viziwi.
Sahihilabda wakajifunze ukabila mikataba ni unafiki tu Kenya..
unafahamu mkataba wa kimwarer dam na ule wa sgr?
unafamu mkataba wa mbolea fake uliomtia matatani na akataka kubanduliwa na bunge waziri wa kilimo Mithika Linturi?
wakajifunze mikataba mibovu na ya hovyo hovyo inayo nuka rushwa anayo ibainisha waziri wa madini Ali Hassan Joho?
au wakajifunze mikataba na matumizi babaya ya mamlaka kwa mfano yanayomfanywa Governor Kawira Mwangaza ambae kwa mara ya3 sasa ananusurika kua impeached..
nadhani cha kujifunza kenya ni ukabila na kununua chopa binafsi kwa rushwa 🐒
Unafanyaje negotiations baada ya kusaini mkataba? Hamna mkataba uliokuwa signed. Wabunge wanapinga mapendekezo ya Adani. Wabunge wamefanya due diligence na kugundua kuwa Adani ana makandokando mengi. Wametimiza wajibu wao. Adani hawezi kushtaki popote maana hana mkataba na serikali ya Kenya.Kenya ufisadi uko juu mno
Mkataba umesainiwa wa kimataifa halafu local court inavunja mkataba
Hiyo pesa ya kuvunja mkataba Kenya italipa mamilioni ya dola mafisadi na huyo mwekezaji wagawane pesa za kigeni
Wanajua kabisa mahakama za biashara za kimataifa Kenya itashindwa na mwekezaji atalipwa millions of dollars kuvunja mkataba wagawane
Hiyo kesi ni ya kifisadi tu watu wapige pesa
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza 🐒Hawa akina Musukuma hata wapelekwe wapi hamna kitu.