jacksonmjuni
Member
- Jul 24, 2011
- 6
- 1
Naomba kuelimishwa juu ya hivi kweli sifa za kuwa mbunge zilizoainishwa kwa mujibu wa katiba yetu, zinajitosheleza kumpa mbuge uwezo wa kutunga sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibara ya 64 kifungu cha 1 KYJMT inatoa hiyo 'mandate' ya kutunga sheria...Ibara ya 67 kifungu cha kwanza 1 (a)-(c) inataja sifa za kuchaguliwa kuwa mbunge, kujibu swali lako ni kuwa mbunge hachaguliwi kutunga sheria tu...rejea kazi za bunge kwenye Ibara ya 63 kifungu cha 3 (a)-(d)..Naomba kuelimishwa juu ya hivi kweli sifa za kuwa mbunge zilizoainishwa kwa mujibu wa katiba yetu, zinajitosheleza kumpa mbuge uwezo wa kutunga sheria?