Martin Maqway
Member
- Sep 22, 2013
- 19
- 2
Inackitisha mwakilishi wa wananchi anasahau majukumu yake yaliyompeleka bungen anayasahau.Katka mikutano nyingi ya bunge tunaona wabunge wetu wanalala,na kuna wabunge tangia wachuguliwe hawajawahi kuchangia hoja wao kuchangia kwao NDIOOOO! je hiyo ndo kaz aliyopewa na wananchi? na je cc kama wananchi tuna haki ya kuwa wajibisha?