Wabunge wetu wengi bungen wanalala wakizinduka kila hoja ndiooooo

Martin Maqway

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Inackitisha mwakilishi wa wananchi anasahau majukumu yake yaliyompeleka bungen anayasahau.Katka mikutano nyingi ya bunge tunaona wabunge wetu wanalala,na kuna wabunge tangia wachuguliwe hawajawahi kuchangia hoja wao kuchangia kwao NDIOOOO! je hiyo ndo kaz aliyopewa na wananchi? na je cc kama wananchi tuna haki ya kuwa wajibisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…