ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Wabunge wote wa Kagera hakuna aliyetoa hoja za Ujenzi wa syend, soko kuu wala fidia kwa wahanga wa tetemeko wote wameishia kushukuru kama kawaida yao lakini pia uongozi wa mkoa uongozi wa mkoa walimzui Rais kusimama kusalimia wana Bukoba waliokuwa wanamsubiri stend alipita kasi ali iliyowashangaza wengi na kugoma kwenda uwanjani Kaitaba kama wasingesomba wanafunzi na watu wa mawilayani angehutubia nyasi.
Rais kaondoka akiwa amegawa ardhi kubwa ya Missenyi na Kyerwa kwa wawekezaji wa Kagera sukar kibaya zaidi kagawa na sehemu kubwa ya lunch ya Kitengure.
Bila Katiba mpya Rais ataendelea kugawa ardhi yetu na kutuachia migogoro nchini.
Nasikia ngorongoro wanawindana sasa migogoro ya ardhi ikipamba moto nchi nzima Rais atakuwa wa kwanza kukimbia nchi.
Ata hivyo Kagera hatuna faida na kiwanda cha sukari cha Kagera sugar tunauziwa sukari bei sawa na mtu wa Dar na katavil bei ya sukari ni sh.3000/ lakini bei ya sement sh, 21, 000/ ujio wa Rais Kagera imekuwa ni hasara kubwa.