Wabunge Wote waombe kustaafu Ili tupate Bunge Jipya la akina Pambalu, Nondo na Jokate!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi

Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki

Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe

Ahsanteni sana ๐Ÿ˜„
 
Unaposema mbowe asipewe ubunge inamaanisha unamzibia riziq hiyo ni husda . Hata hao hawatabadrisha kitu.
 
Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi

Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki

Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe

Ahsanteni sana ๐Ÿ˜„
Huyo Jokate umemuweka kwa lipi!!??
Akawe "jamvi"!!??

Bunge zima linatakiwa lipigwe chini kweli.
 
Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi

Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki

Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe

Ahsanteni sana ๐Ÿ˜„
Mpango Anastaafu ?
 
Unafikiri mchi itakuwa nzuri kwa wabunge wazuri wakuongea hahaaa watu wote tufanye kaz kwa bidii
 
Wabunge wa aina ya kina Samwel Sitta RIP, akina Njelu Kasaka na G 55 yao etc etc !
Jokate ???!! ๐Ÿ˜ณ. !

Tundu Lissu, Zitto kabla ya Asali kulamba, Kafulila kabla ya Asali kulamba akina Mdee na Bulaya kabla ya kutema Bungo ๐Ÿ˜…
Etc etc etc !
Watu walikuwa wanajazana kwenye kijiwe chenye Radio au TV kusikiliza Nondo zilivyokuwa zikiteremshwa na Waheshimiwa wale !
Ilikuwa ni Hatari !
Waswahili Wanasemaga mtoto hatumwi Dukani ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„๐Ÿ‘
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom