johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hujaona hoja hapo? Au uchawa tu?Bila shaka umeshajimiminia zako vile vitu vya Iringa
ulasi siyoBila shaka umeshajimiminia zako vile vitu vya Iringa
Huyo Jokate umemuweka kwa lipi!!??Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi
Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki
Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe
Ahsanteni sana π
naona umekutana na mpinzani wakoBila shaka umeshajimiminia zako vile vitu vya Iringa
Mpango Anastaafu ?Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi
Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki
Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe
Ahsanteni sana π
Unafikiri mchi itakuwa nzuri kwa wabunge wazuri wakuongea hahaaa watu wote tufanye kaz kwa bidiiKiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi
Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki
Hata Mpango wa kumteua Mbowe kuwa Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia na Mrema usitishwe
Ahsanteni sana π