Naomba kutoa maoni yangu,
Kwa sababu mara ya kwanza ilipendekezwa laki 7 ila tukapiga kelele kumbe nia yao ilikua hizo.Sasa naomba Julias Mtatiro na wengine mnajua Tanzania ni masikini kama watalazimisha kuongezewa posho hao wasio na huruma na muwe wa kwanza kujiondoa,na kama akibaki ndani hata hoja hazitakubaliwa.
Nionavyo mimi kwao sio katiba ila maslahi zaidi, mtaonekana wazalendo na kujenga heshima kubwa.