Si rahisi kujitoa kwa kuwa na wao njaa zinawasumbua! Bila hili zimwi CCM kung'oka, hakuna atakayesalimika.http://www.goodreads.com/author/show/4491185.Steve_MaraboliNaomba kutoa maoni yangu kwa sababu mara ya kwanza ilipendekezwa lako 7 ila tukapiga kelele kumbe nia yao ilikua hizo.sasa naomba julias mtatiro na wengine mnajua tanzania ni masikini kama watalazimisha kuongezewa posho hao wasio na huruma na muwe wa kwanza kujiondoa.na kama mkibaki ndani hata hoja hazitakubaliwa.nionavyo mimi kwao sio katiba ila maslahi zaidi mtaonekana wazalendo na kujenga heshima kubwa
Naomba kutoa maoni yangu kwa sababu mara ya kwanza ilipendekezwa lako 7 ila tukapiga kelele kumbe nia yao ilikua hizo.sasa naomba julias mtatiro na wengine mnajua tanzania ni masikini kama watalazimisha kuongezewa posho hao wasio na huruma na muwe wa kwanza kujiondoa.na kama mkibaki ndani hata hoja hazitakubaliwa.nionavyo mimi kwao sio katiba ila maslahi zaidi mtaonekana wazalendo na kujenga heshima kubwa