Wacha kuangalia jukwaa la wakubwa ukiwa ofisini.

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,733
Juzi ndiyo nilijua kumbe JF kuna jukwa la kikubwa baada ya kumkuta Assistant wangu akiwa amekuza picha ya kikubwa kwenye screen yake.
Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi tupo ofisini sasa kuna file nilikuwa nataka kuonyeshwa lipo saved sehemu gani.
Sinikatoka ofisi niliokuwepo kwenda kwenye ofisi alipo Assistant wangu ni binti ile kuvungua mlango wa ofisi yake nikaona anaangaika na mouse kama vile imegoma nilipofika nikaenda moja kwa moja kwenye kompyuta yake huku nikiwa namuuliza anielekeza file fulani amelisave wapi?
Ghafla nikakuta Srceen yake imejaa picha ya watu wakiwa wanafanyamapenzi mbaya au nzuri zaidi akiwa ameikuza hiyo picha yaani ipo full screen.Nikashtuka kuona hiyo picha mara na yeye akanyanyuka akatoka nje huku akiwa kapanic sana nikataka kui cancel ile picha kwenye ndo nikagundua Mouse yake ilikuwa imegoma wakati nachomoa ile mouse na ku-insert tena sababu ni USB mouse ndo nikapata mda wa kuangalia vizuri nikagundua kumbe JF kuna jukwaa la wakubwa.
Ila yule binti alipaniki sana sababu kwanza ndiyo fresh katoka chuo ndiyo ajira yake ya kwanza so anyway.....
Ushauri wangu kwa wote tuwe makini sana na haya majukwa ya watu wakubwa tuwapo kazini yasije wakuta yaliyomkuta huyu binti.
 
Mamndenyi kule mimi sina access napo kabisa tena kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Sasa umeshamfuta kazi?
 
Back
Top Bottom