Wacha tu sisi tusherehekee Birthday !

Wacha tu sisi tusherehekee Birthday !

Ok ahsante...ila masuala ya birthday yanahusikaje?
Huyo ana relate mambo ya kijinga yanayoendelea nchini (kama hilo la birthday ya rais kuwa publicized kama vile ni shughuli ya kiserikali) na mambo wanayofanya wenzetu kwa mfano frontline huko Ukraine ambako kuna mgogoro unaoweza kupelekea vita ya tatu ya dunia kati ya Ukraine (akisaidiwa na NATO) vs Russia.

So anajaribu kulinganisha vile tulivyo katika dunia mbili tofauti na wenzetu.
 
Huyo ana relate mambo ya kijinga yanayoendelea nchini (kama hilo la birthday ya rais kuwa publicized kama vile ni shughuli ya kiserikali) na mambo wanayofanya wenzetu huko frontline Ukraine ambako kuna mgogoro unaoweza kupelekea vita ya tatu ya dunia kati ya Ukraine (akisaidiwa na NATO) vs Russia.

So anajaribu kulinganisha vile tulivyo katika dunia mbili tofauti na wenzetu.
Bado natamani niendelee kuuliza ila wacha niishie hapa. Shukrani [emoji120][emoji120]
 
Nitafsirie
Mambo makubwa hatuhangaiki nayo.Tumewaachia "wazungu"!Sisi hata uchaguzi wa vyakula salama hatuwezi!
-Igunga:watu kadhaa wamekufa kwa kula uyoga wenye sumu.
-Pemba:watu kadhaa wamekufa kwa kula kasa na wengine madhara ya kiafya kwa kula bunju.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom