Wacha tuone panapovuja leo

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Wale wadau wasoka hapa bongo watakuwa wapo makini kufuatilia matokeo ya michezo ya Leo ya timu za Simba na yanga

Huku simba ikiwa ugenini kusaka point adimu na za muhimu wakati kule atakuwa yanga kusaka point muhimu kabsa ili kutetea uhai wake kundini

Japo michezo yote inaonekana migumu kutokana na timu wanazokutanazo ila hazinabudi kupambana kiume ili kijijengea heshima na umaarufu afrika

Mitaa ya jangwani na msimbazi mvua inanyesha wacha tuone panapovuja!!
 
Timu ya wachambuzi uchwara wanayoipa hadhi ya Bayern Munchen leo itawaaibisha watu

Ft yanga 0 Ahly 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…