komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Kwa mfano wa nchi ulio utumia, hayo juu ni ukweli usiopingika.Wachache/kikundi hawa, ni makatili, wababe na roho ngumu kupora kila rasilimali bila kujali waliobaki wanaishi au wanakufa
Mimi kuwa miongoni mwa makatili, wababe na hata wauwaji ili kupora mali si sehemu ya ndoto zangu.Na wewe kwanini usiwe katika hao wachache..
Mali haiporwi.. itaondoka tuMimi kuwa miongoni mwa makatili, wababe na hata wauwaji ili kupora mali si sehemu ya ndoto zangu.
Wabongo huwa wakikosa chanzo cha pesa ya mtu basi huwa mnatunga ya kwenu...Watu wengine wanajitoa muhanga sana aise kwa mfano Chief Godlove anayeuza jicho la tatu ambapo watu wenye hela humkunja kama kambalena kumwachia visenti anavyotumia kuwatambishia vijana wa TikTok.
Kwa hiyo na wewe unataka kujiunga naye siyo?Wabongo huwa wakikosa chanzo cha pesa ya mtu basi huwa mnatunga ya kwenu...
Sitaki kujiunga naye, sikumkubali lakini wabongo mna story nyingi juu ya watu ambao hamjui pesa wanapata wapi. Hii yote ni asiye na pesa kujaribu kujustify kutokuwa na pesa kwake kwa kusema aliye na pesa kazipata kwa njia mbaya sana.Kwa hiyo na wewe unataka kujiunga naye siyo?
Tatizo yule jamaa ana mdomo sana na ninaijua michezo yake. Ingekuwa namwonea wivu basi ningeanza kuwatuhumu akiona Mo dewji , Rostam, Shabibi n.k.Sitaki kujiunga naye, sikumkubali lakini wabongo mna story nyingi juu ya watu ambao hamjui pesa wanapata wapi. Hii yote ni asiye na pesa kujaribu kujustify kutokuwa na pesa kwake kwa kusema aliye na pesa kazipata kwa njia mbaya sana.
Mo unajua biashara zake, rostam unajua, shabiby unajua, huyo haijulikani ndio maana anawadanganya mara freemasons mara sijui nini. Na wabongo wasipojua unafanya kitu gani wao watakuja na majibi yao.Tatizo yule jamaa ana mdomo sana na ninaijua michezo yake. Ingekuwa namwonea wivu basi ningeanza kuwatuhumu akiona Mo dewji , Rostam, Shabibi n.k.
Wewe unajigamba kama dogo godlove?Mo unajua biashara zake, rostam unajua, shabiby unajua, huyo haijulikani ndio maana anawadanganya mara freemasons mara sijui nini. Na wabongo wasipojua unafanya kitu gani wao watakuja na majibi yao.
Mimi nina ela ya kubadilisha mboga, mtaani hawajui kazi yangu basi wao wanasema eti mimi ni mwanajeshi. Ningekuwa tajiri sana wangesema labda muuza madawa, au freemasons. Hii ni tabia ya wabongo hasa wabongo masikini sana.
Godlove yule atakuwa anawatapeli hivyo ukitaka kuwatapeli wabongo lazima ujigambe. Yani make them believe una pesa.Wewe unajigamba kama dogo godlove?
Na mimi namtukana kama yeye anavyowatukana vijana na kuwadanganya.Godlove yule atakuwa anawatapeli hivyo ukitaka kuwatapeli wabongo lazima ujigambe. Yani make them believe una pesa.
Si nasikia ana magroup ya whatsapp ya kuwafundisha watu utajiri kiingilio lak 3 na yanajaa.
Haki wewe tafta pesa uanze kodi magari, uende south upge pcha kidogo. Uanze tukana watu kuwa watafte pesa, basi wajinga watakuletea pesa wenyewe.
Ni formula wanaitumia wengi akiwemo sir jeff
Au kama sio tapeli basi madini yatakuwa yanampa hela chunya huko pengine ana MIGODI mbona kawaida sana vijana siku hizi kuwa na noti..sema yule tatizo ndo hivo sifaGodlove yule atakuwa anawatapeli hivyo ukitaka kuwatapeli wabongo lazima ujigambe. Yani make them believe una pesa.
Si nasikia ana magroup ya whatsapp ya kuwafundisha watu utajiri kiingilio lak 3 na yanajaa.
Haki wewe tafta pesa uanze kodi magari, uende south upge pcha kidogo. Uanze tukana watu kuwa watafte pesa, basi wajinga watakuletea pesa wenyewe.
Ni formula wanaitumia wengi akiwemo sir jeff