britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hahaha kabisaa uko huru mkubwa najua unaogopaPia ni wachache Sana watakao changia kwenye Uzi kama huu kwasababu ukweli ni kwamba ni wachache wenye uhuru wakutoa mawazo yao ...
Ndo alimuweka jamaaLawama kwa lodi lofa
Utaelewa tu ukiacha ujingaNdo alimuweka jamaa
Baada ya Mabeberu kuwachoka sasa mmeanza kuwalilia viongozi wa dini
Siamini km Viongozi wa dini wapo tayari kushirikiana na Wasaliti wa Nchi
Ni wachache sana wanao ukubali utawala huu wa awamu ya Tano. [emoji17][emoji17][emoji17]
Nani amelilia viongozi wa dini?
Viongozi wa dini ni Watanzania ni wajibu wao kupambana na jitu linaloitwa ccm na mamalia hamnazo kama wewe!
Na washaanza kuongea,hamnazo hamtakua na cha kujibu maana nyie ni majambazi!
Mnatakiwa kwenda kwao mkiwa mmepiga migoti yenu kuomba toba maana ni wezi na kila mtu anawajua mlichofanya!
Shame on all’ya’all!
What is this unaandika ujinga uongo! who can listen you !
Viongozi wa dini can't back up wasaliti wa nchi
Mlijiona check Bob's mnauweza umafia !
Ooh dictotor! And other nosense
Mwiteni dictotor ila anasomesha watoto wenu bure,no more upigaji and more still to come
Where have you reached now!
Wajinga mnatumika kuharibu Nchi yenu,mkishatumika mnatupwa km useless bags!
You will pay for this country for your hypocritical
Shame on you
Mmh..Ongea Kiswahili tu,Kiingereza hukiwezi!
Kiswahili nacho hukiwezi vile vile!
Dictotor=Dictator
Nosense=Nonsense!
Mwiteni=Muiteni
Nani kapiga serikali?
Mimi au CCM?Mbowe au CCm?
Chadema au CCM?
You are the number one hypocrite!
CCM muile serikali tangu mwaka 1961 mpaka leo halafu unakuja kutanua mitako hapa unasema Chadema ndio imekula nchi?Mzima wewe kiazi?
Mbuzi wa maziwa wewe!
Na serikali inasomesha watoto wa nani?Inasomesha watoto wako wewe!
Usi generalize!Watoto wangu hawasomeshwi na mtu!
Na nani kakwambia kuna shule ya bure Tanzania?
Hakuna shule ya bure mbwa nyie!
Endelea kunyonya uchi wa bwana yako huko!
Get on yo’ knees,suck it you silly hoe!