Wachaga hawapendagi jokes!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Mchaga aliamua kufungua bustani ya
wanyama akafanya kiingilio 10,000/=
hakuna aliyeingia akashusha 5,000/=
pia hakuna aliyeingia akashusha tena
2,000/= hakuna aliyeingia akashusha
1,000 pia hakuna aliyeingia akaamua kufanya bureeeee watu wakaingia na
walikua wengi mno akafungulia Simba
mmoja akafanya bei ya kutokea nje ni
20,000/=@
ALIKUSANYA HELA KAMA
MCHANGA! [HASHTAG]#WACHAGA[/HASHTAG] HATUPENDAGI UJINGA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…