Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari nimekuja na option mbili ambazo sina uhakika.
1. Wachaga wa dar hutanguliza fedha kabla ya kwenda ili ndugu zao waandae mbuzi etc.
2. Wachaga wa kilimanjaro huweka akiba kwa ajili ya kuwakaribisha ndugu zao wanapo kuja kula chrismass.
Natafuta nijue huu utataribu wa wachaga kwenda kwao unafaidisha vipi mkoa wa kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app