Family harmony, mapumziko baada ya mwaka mzima which is good kwa afya ya mwili na afya ya akili. Vocation yoyote worldwide haziwi na malengo ya faida za kiuchumi japo wakutanapo wengi hubadilishana experience mbalimbali na kuongezana maarifa licha ya kuwa malengo hasa huwa ni kupumzika na ndugu kukutana kujuliana hali.Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari nimekuja na option mbili ambazo sina uhakika.
1. Wachaga wa dar hutanguliza fedha kabla ya kwenda ili ndugu zao waandae mbuzi etc.
2. Wachaga wa kilimanjaro huweka akiba kwa ajili ya kuwakaribisha ndugu zao wanapo kuja kula chrismass.
Natafuta nijue huu utataribu wa wachaga kwenda kwao unafaidisha vipi mkoa wa kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Tabutupu umewahi kujiuliza na wale wasioenda makwao wanaacha faida kiasi gani kwao ??!!.Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari nimekuja na option mbili ambazo sina uhakika.
1. Wachaga wa dar hutanguliza fedha kabla ya kwenda ili ndugu zao waandae mbuzi etc.
2. Wachaga wa kilimanjaro huweka akiba kwa ajili ya kuwakaribisha ndugu zao wanapo kuja kula chrismass.
Natafuta nijue huu utataribu wa wachaga kwenda kwao unafaidisha vipi mkoa wa kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
We huendagi kwenu mkuu!Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo.
Nimetafakari nimekuja na option mbili ambazo sina uhakika.
1. Wachaga wa dar hutanguliza fedha kabla ya kwenda ili ndugu zao waandae mbuzi etc.
2. Wachaga wa kilimanjaro huweka akiba kwa ajili ya kuwakaribisha ndugu zao wanapo kuja kula chrismass.
Natafuta nijue huu utataribu wa wachaga kwenda kwao unafaidisha vipi mkoa wa kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uanze tamaduni hyo!