Wachaga misifa

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Hawa wenzetu kuna sifa moja inawanyemelea, hawa jamaa ukiniuliza kabila linalopenda sifa hapa Tanzania basi nitakuanzia na wachaga alafu ntafatisha Wahaya.

Siku hizi hawa wenzetu kama ni kupenda hela na kizitafta kila mtu anapenda na anatafta ila Wachaga wachache waliokuja mjini ambao nao ni sawa na akina Nshomile wachache waliosoma, basi wanajiona maisha wameyapatia.

wanapenda sifa haijawai kutokea na kama mtu ni mchaga anataka ajulikane alipo kwamba yeye ni Mchaga, na mungu ni mkubwa mademu wa Kichaga kawanyima makalio[emoji3][emoji3].

punguzeni misifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipambana kwa kila namna kuonesha wewe ni bora kuliko mwingine.
Lazima wajitokeze wengine kukuonesha kuwa wewe sichochote.
 
Sanchi kanyimwa kalio? Analo kubwa kuliko hapo kwenu wote na hajisifii ni mchagga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ukitaja ni mchagga bhasi shobo nyingi sana utadhani tumetokea Malibu, States.

Mnaboa, punguzeni kutuongelea mnatupa airtime tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…