Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,391 Reaction score 21,045 Dec 27, 2019 #21 Jstar1 said: mchangiaji ovyo wa mwaka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nigee tuzo sasa?
Jstar1 said: mchangiaji ovyo wa mwaka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nigee tuzo sasa?
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Dec 27, 2019 #22 Wewe mndengereko acha kelele
Balvejmumt JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,224 Reaction score 2,938 Dec 28, 2019 #23 Lakini hayo ni maoni yako hatuyapingi vipi yule mzee wa manyara ndio kakutuma uje uyaseme haya huku uendeleze usambaratishaji? Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hayo ni maoni yako hatuyapingi vipi yule mzee wa manyara ndio kakutuma uje uyaseme haya huku uendeleze usambaratishaji? Sent using Jamii Forums mobile app
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Dec 28, 2019 #24 Jstar1 said: mungu ni mkubwa mademu wa Kichaga kawanyima makalio . Click to expand... Eheee, hebu tueleze wewe kalio kwa demu unalitaka la nini ???!!
Jstar1 said: mungu ni mkubwa mademu wa Kichaga kawanyima makalio . Click to expand... Eheee, hebu tueleze wewe kalio kwa demu unalitaka la nini ???!!
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Dec 28, 2019 #25 Wachaga walikuwa zamani. Siku hizi wachaga na wanakyusa wameharibika kwa pombe, bange na ugoro ! Wamebaki kujisifia sifia ili waonekane lakini wapi.
Wachaga walikuwa zamani. Siku hizi wachaga na wanakyusa wameharibika kwa pombe, bange na ugoro ! Wamebaki kujisifia sifia ili waonekane lakini wapi.
kidambinya JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 1,177 Reaction score 1,721 Dec 28, 2019 #26 Sio wote hawana makalio, wachaga wamegawanyika katika makundi tofauti ingawaje wanaunganishwa na baadhi ya sifa na tamaduni, hawafanani kwani kuna wengine Makalio yapo tena Makubwa tuu ila wengine wao ni weupe, kwahiyo usijumuishe wote. Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote hawana makalio, wachaga wamegawanyika katika makundi tofauti ingawaje wanaunganishwa na baadhi ya sifa na tamaduni, hawafanani kwani kuna wengine Makalio yapo tena Makubwa tuu ila wengine wao ni weupe, kwahiyo usijumuishe wote. Sent using Jamii Forums mobile app