Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwakamata wakinga? Andika vizuri basiVyuma vimekaza ni msemo wa nyumbu ili kuwakamata wakinga wachague chadema
DhibitishaHahahaaa!! Ndio maana hata himu jf wameadimika kabakia mchaga wa kariakoo MO11 peke yake.
Mambo yakivurugika ndiyo wanaenda kutambika kwa wingi.Kweli wachaga Mungu anawaona kwani nyie vyuma havijakaza au vp maana siwaelewi foleni iliyopo Moshi siyakitoto
Moshi hakuna Korosho...Kweli wachaga Mungu anawaona kwani nyie vyuma havijakaza au vp maana siwaelewi foleni iliyopo Moshi siyakitoto
Lazima tukatambike ili Membe aendelee kuwa mtulivu na mkimya.Mambo yakivurugika ndiyo wanaenda kutambika kwa wingi.
Mambo yakivurugika ndiyo wanaenda kutambika kwa wingi.
Yeeees sweetheart.Baby....
Mmmmmh!Mkataa kwao mtumwa. Kutambika kumepungua sana siku izi. Ni familia chache zinafanya hiyo kitu. Kule wanaenda kusalimia na kuweka mambo sawa nyumbani.
Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.Mkataa kwao mtumwa. Kutambika kumepungua sana siku izi. Ni familia chache zinafanya hiyo kitu. Kule wanaenda kusalimia na kuweka mambo sawa nyumbani.