Wachaga Mungu anawaona

Hii habari si njema pale jumba jeupee,

Inabidi mwezi wa 12 kodi itizwe kila gari inayoenda moshi
 
Mkataa kwao mtumwa. Kutambika kumepungua sana siku izi. Ni familia chache zinafanya hiyo kitu. Kule wanaenda kusalimia na kuweka mambo sawa nyumbani.
Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…