Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hapana sio taifa dogo ndani ya Tanzania,sema Ni Mkoa wa Wabantu na wamasai.kama ilivyo mikoa mingine yote,Ni ya Wabantu na Nilo Hamites.Pia kumbuka Musoma ina makabila zaidi ya yalioko Kilimanjaro,jee nayo Ni taifa ndogo ndani ya Tanzania?Wachagga ni Taifa lenye makabila ya Rombo, Kibosho, Machame, Marangu nk.
Jina "Chagga" lilitokana na jina "kichaka" yaani watu walifyeka msitu na kuishi humo. Waswahili wakawatambulisha kwa Wakoloni kwamba hawa ni 'wachaka' yaani wanakaa vichakani.
Basi jina likazoeleka "Wachagga".
Kimsingi, mwanzoni jina "Wachagga" halikuwepo bali majina yaliyokuwepo ni Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wauru, Wamoshi nk. Na kila kabila lilikuwa na himaya yake na pia palikuwepo Mangi Mkuu ambaye alikuwa Kiongozi Mkuu.
Mpaka mwaka 1958, himaya ya Wachagga ilikuwa na bendera yake ambayo kwa Sasa ni bendera ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Pia ilikuwa na ikulu, ambayo ndiyo ikulu ndogo kwa sasa ya mkoa.
Pia palikuwa na Gazeti la Konkya, majengo ya utawala(kwa Sasa yanatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi).
Pia palikuwepo na Chagga Democratic Party (CDP), na Kilimanjaro Development Council (Baraza la Maendeleo la Mkoa).
Mimi kwa maoni yangu, Wachagga siyo kabila bali ni Taifa dogo ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo yaani!
Mkuu nakushauri ukasome upya maana ya dialect.kwa tafsiri nyepesi dialect ni utofauti mdogo mdogo unaotokea ktk matumizi ya lugha moja miongoni mwa watumiaji wa lugha hiyo.
Utofauti huo unaweza kuwa wa kimatamshi au kimisamiati au kimaana.
Mfano mzuri ni kiingereza,akizungumza mtu wa England ataeleweka na watumiaji wote wa kiingereza mfano mmarekani,mnaijeria na East Africa,South Africa nk,japo viingereza vyao havifanani hasa kwenye matamshi.Katika hali hiyo tunasema hizo dialect ni mutual intelligible kwa maana wanaelewana.
Kwa uchagani ni tofauti sana,mm ni mkibosho na nakijua vizuri,akitokea mtu wa Rombo siwezi kumuelewa kabisa wala yeye hawezi kunielewa.Vivyo hivo Msiha na Mrombo au mkibosho hawawezi kuelewana kabisa utofauti ni mkubwa mnoo.Tunaweza kusema ni lugha tofauti kabisa zinazotumika miongoni mwa wacha
Kwanin wote ni kabila moja Kama lugha hamuendani unadhani sababu ninMkuu nakushauri ukasome upya maana ya dialect.kwa tafsiri nyepesi dialect ni utofauti mdogo mdogo unaotokea ktk matumizi ya lugha moja miongoni mwa watumiaji wa lugha hiyo.
Utofauti huo unaweza kuwa wa kimatamshi au kimisamiati au kimaana.
Mfano mzuri ni kiingereza,akizungumza mtu wa England ataeleweka na watumiaji wote wa kiingereza mfano mmarekani,mnaijeria na East Africa,South Africa nk,japo viingereza vyao havifanani hasa kwenye matamshi.Katika hali hiyo tunasema hizo dialect ni mutual intelligible kwa maana wanaelewana.
Kwa uchagani ni tofauti sana,mm ni mkibosho na nakijua vizuri,akitokea mtu wa Rombo siwezi kumuelewa kabisa wala yeye hawezi kunielewa.Vivyo hivo Msiha na Mrombo au mkibosho hawawezi kuelewana kabisa utofauti ni mkubwa mnoo.Tunaweza kusema ni lugha tofauti kabisa zinazotumika miongoni mwa wachaga
Ile dhana ya utengano na kutoingiliana sana ndio imeleta hiyo.Ninaamini zamani sana lugha ilikuwa moja lakini kutokana na kujitenga kila kipande kikaanza ku divert taratibu kutoka kwenye lugha mama mpaka kufikia hatua ya sasa.Kwanin wote ni kabila moja Kama lugha hamuendani unadhani sababu nin
hayo maoni uliomalizia chini ni "mgando" kabisaWachagga ni Taifa lenye makabila ya Rombo, Kibosho, Machame, Marangu nk.
Jina "Chagga" lilitokana na jina "kichaka" yaani watu walifyeka msitu na kuishi humo. Waswahili wakawatambulisha kwa Wakoloni kwamba hawa ni 'wachaka' yaani wanakaa vichakani.
Basi jina likazoeleka "Wachagga".
Kimsingi, mwanzoni jina "Wachagga" halikuwepo bali majina yaliyokuwepo ni Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wauru, Wamoshi nk. Na kila kabila lilikuwa na himaya yake na pia palikuwepo Mangi Mkuu ambaye alikuwa Kiongozi Mkuu.
Mpaka mwaka 1958, himaya ya Wachagga ilikuwa na bendera yake ambayo kwa Sasa ni bendera ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Pia ilikuwa na ikulu, ambayo ndiyo ikulu ndogo kwa sasa ya mkoa.
Pia palikuwa na Gazeti la Konkya, majengo ya utawala(kwa Sasa yanatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi).
Pia palikuwepo na Chagga Democratic Party (CDP), na Kilimanjaro Development Council (Baraza la Maendeleo la Mkoa).
Mimi kwa maoni yangu, Wachagga siyo kabila bali ni Taifa dogo ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo yaani!
Na KNCU ilikuwa imara sanaWachagga ni Taifa lenye makabila ya Rombo, Kibosho, Machame, Marangu nk.
Jina "Chagga" lilitokana na jina "kichaka" yaani watu walifyeka msitu na kuishi humo. Waswahili wakawatambulisha kwa Wakoloni kwamba hawa ni 'wachaka' yaani wanakaa vichakani.
Basi jina likazoeleka "Wachagga".
Kimsingi, mwanzoni jina "Wachagga" halikuwepo bali majina yaliyokuwepo ni Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wauru, Wamoshi nk. Na kila kabila lilikuwa na himaya yake na pia palikuwepo Mangi Mkuu ambaye alikuwa Kiongozi Mkuu.
Mpaka mwaka 1958, himaya ya Wachagga ilikuwa na bendera yake ambayo kwa Sasa ni bendera ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Pia ilikuwa na ikulu, ambayo ndiyo ikulu ndogo kwa sasa ya mkoa.
Pia palikuwa na Gazeti la Konkya, majengo ya utawala(kwa Sasa yanatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi).
Pia palikuwepo na Chagga Democratic Party (CDP), na Kilimanjaro Development Council (Baraza la Maendeleo la Mkoa).
Mimi kwa maoni yangu, Wachagga siyo kabila bali ni Taifa dogo ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo yaani!
Na KNCU ilikuwa imara sana
hayo maoni uliomalizia chini ni "mgando" kabisa
vp bwashee wewe ni 'Mchakka'??
Mkuu hakuna kabila la KICHAGAZifuatazo ni dialects za lugha ya kichaga nyingine zinaendana
Kirombo
Kimarangu
Ki-uru
Kikibosho
Kimachame
Kisanya
Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio wachaga
Kimeru
Kigweno
Mfano msanya ni ngumu sana kumsema mmeru, na mmarangu ni ngumu sana kumsema mgweno
Jwa hiyo ?Wachagga ni Taifa lenye makabila ya Rombo, Kibosho, Machame, Marangu nk.
Jina "Chagga" lilitokana na jina "kichaka" yaani watu walifyeka msitu na kuishi humo. Waswahili wakawatambulisha kwa Wakoloni kwamba hawa ni 'wachaka' yaani wanakaa vichakani.
Basi jina likazoeleka "Wachagga".
Kimsingi, mwanzoni jina "Wachagga" halikuwepo bali majina yaliyokuwepo ni Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wauru, Wamoshi nk. Na kila kabila lilikuwa na himaya yake na pia palikuwepo Mangi Mkuu ambaye alikuwa Kiongozi Mkuu.
Mpaka mwaka 1958, himaya ya Wachagga ilikuwa na bendera yake ambayo kwa Sasa ni bendera ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Pia ilikuwa na ikulu, ambayo ndiyo ikulu ndogo kwa sasa ya mkoa.
Pia palikuwa na Gazeti la Konkya, majengo ya utawala(kwa Sasa yanatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi).
Pia palikuwepo na Chagga Democratic Party (CDP), na Kilimanjaro Development Council (Baraza la Maendeleo la Mkoa).
Mimi kwa maoni yangu, Wachagga siyo kabila bali ni Taifa dogo ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo yaani!
Mbona majina ya kichagga yanatumika pote ?Nakubaliana sana na Mmassy JM kuwa wachagga ni umoja wa makabila mengi
sababu ya msingi lugha HAWAELEWANI na baadhi ya mila HUTOFAUTIANA
Kama ilivyo mkoa wa MARA Lugha wanaelewana tena vizuri lakini kabila tofauti mfano
Mwikizu na Mzanaki, Muungurimi, Mwikoma wote wanaitwa kabila lakini hawawezi semana kwa sababu wanasikilizana na ni majirani sana zaidi ilivyo kwa wachagga
Jwa hiyo ?