Wachaga ni moja ya wanaoongoza uwekezaji DSE na UTT, T Bond

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Habari za Jua kali Wakazi wa Duaniani.

Kuna mahala nimesikia habari ya kwamba, Katika Tasnia ya Uwekezaji hasa katika passive income ,inayowekezwa Kwa kununua Hisa, Vipande au ,Bond watanzania wengi bado wapo nyuma sana, na ni Jamii moja tu ya Wachaga ambayo ndo Inaonekana ikifanya Vizuri katika Uwekezaji wa namna hiyo nchini, huku makabila mengine yakiwa na ushiriki mdogo.

Wanao ongoza Kwa kuwekeza katika Masoko ya Mitaji yaani UTT, DSE, T bond Kwa Tanzania ni Jamii ya Wahindi, Ikifuatiwa na Jamii ya Waarabu halaf ndo inakuja Jamii ya Wachaga.

Sasa Kwanini Makabila Mengine tusijifunze Kwa wachagga, Kwa maana Inaonekana ni moja ya jamii iliyoshikilia uchumi wa Tanzania

Nadhani Serikali iwekeze zaidi kwenye elimu ya ujasiriamali
 

Attachments

  • Screenshot_20241112-131246_1.jpg
    166.5 KB · Views: 18
Takwimu ziko wapi mbona unaleta story za vijiweni
 
una data ?
 
Ujinga mtupu wachaga wamefukuzwa kariakoo wamebaki kujitapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…