Wachaga TAFADHARINI, bakini Moshi. Sasa foleni Dar zinatembea mpaka raha.

Wachaga TAFADHARINI, bakini Moshi. Sasa foleni Dar zinatembea mpaka raha.

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,182
Za jioni.
Kwa kweli lazima nikiri siku tatu hizi yaani juzi, jana na leo foleni Dar zipo ila zinatembea. Kuna trafiki tulimuuliza kiutani akasema gari zimepungua barabarani hivyo kusababisa foleni angalau kusogea na sababu kubwa ni wachaga kukimbia mji na gari zao.
Mi nawaombeni mpaki huko huko! Kumbe mko wengi kiasi hiki mjini Dar.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Za jioni.
Kwa kweli lazima nikiri siku tatu hizi yaani juzi, jana na leo foleni Dar zipo ila zinatembea. Kuna trafiki tulimuuliza kiutani akasema gari zimepungua barabarani hivyo kusababisa foleni angalau kusogea na sababu kubwa ni wachaga kukimbia mji na gari zao.
Mi nawaombeni mpaki huko huko! Kumbe mko wengi kiasi hiki mjini Dar.
Sio wachagga tu waliopungua watu wengi tuu wamekwenda makwao kuhiji mwisho wa mwaka
 
hiyo inaonyesha kuwa wachaga ndo wenye magari ndani ya mkoa wa dar
 
Mbona lifoleni kama lote....this term kuna watu hawajasafiri asee
 
Mnawapa kiburi kwani wao ndio wenye magari pekeee, mjue hata chato mataa yapo
 
Kauli kama hizi ndizo zinamfanya jiwe kututenga akidhani wachaga tuna pesa za kututosha kumbe wapi

Hebu futa thread yako tafadhali
 
Back
Top Bottom