Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Tuwaache ambao hawajaonja ndoa waionjeMambo ya ndoa hayo ,
Asingekuwa na hyo ndoa ,asingekuwa mtu.......
Polisi wetu kwenye vikesi kama hivi wanachangamka san. Havuwapiti.
Siku hizi wivu wa mapenzi umegeuka kuwa "ugonjwa wa akili "Japo picha haijafunguka Wala video ila kupitia comments za wadau hali inatisha sana