mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Ungekua sio mnafiki ungewauliza wahusika.
Hata humu wahusika wamo!Tena wengi,huu sio unafiki!
Hao waliokataa kutambulisha kwao wapo?Unawajua?
Yes nawajua na nilishawahi kuishi nao nyumba moja,na kwa masikio yangu nikawasikia wakisema "mi mtu akiniuliza kwetu ni wapi nasema old moshi sisemi ni Uru"!
Yes nawajua na nilishawahi kuishi nao nyumba moja,na kwa masikio yangu nikawasikia wakisema "mi mtu akiniuliza kwetu ni wapi nasema old moshi sisemi ni Uru"!
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio
Wauru acheni hasira na matusi naskia wasomi waliobobea huko uchagani .maprof, madr, wanatoka uru Mko juu.