Afu uru sio kishumundu tu!kuna uru kishumundu,uru msuni,uru njari,uru mrawi,uru mawela,uru shimbwe,uru kitandu na nyingine kibao! Kwahiyo aliyeanzisha hii topic alijue hilo.
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio
wachagga wa kishmundu ndo wako nyuma kimaendeleo kuliko wachagga wengine.

uru mamboleo
WA-URU OYEEEEEE....
PUNGUZENI UCHAWIIIIIII
kwani uru kuna nini?
Nataka kumla m-uru mmoja ana duka mwenge
wasije kuwa wanatagisha watu mayai kama kuku
naogopa kulalia mayai
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio
MIminaitwa Dee dee natokea Uru mimi natokea uru mawela msuni. mimi natokea UuuuRRRUuuuu Msuni and very and i mean very pround. We ulianzisha topic hii marufi hakuore, kite kya warumu kapisaHeshma kwenu woote na Merry xmass to u
Nimekaa mahali na makabila mchanganyiko tunapata mambo yetu yalee...
Tuna wachaga pia hapa wakiwemo wa Uru
Huyu mchaga wa Uru imemuwia vigumu sana kutaja kule anapotoka I mean Uru..na sio mara ya kwanza..ilishatokea tena kwa wchaga wengine wa hukohuko huru kulitaja ilo eneo..ninalazimika kuuliza ni kwa nnwachaga wa Uru mnaogopa kujitaja mnapotokea!!?
Au ni sababu ya kihistoria ya ile sanamu pale YMCAM?plz have confidence jamani...be
proud of urplace of origin...nawakilisha
Huko ndo kishumundu inapopatikana, cku hizi watakwambia wanatokea old Moshi lol!