Wachaga wajanja

matakooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kakuambia nani wakirua hatuji mjin?
Rudia huu utafiti haraka sana
 
Unamichwa wewe.... hao warombo kama kweli ivi nlipata wasaa wa kuwa kule kama mwezi jamaa wa hela mingi sana... kiufupi walinitisha
 
Unamichwa wewe.... hao warombo kama kweli ivi nlipata wasaa wa kuwa kule kama mwezi jamaa wa hela mingi sana... kiufupi walinitisha
mwambie huyo, Mfano mzuri Pale MKUU wanakaa wafanyakazi wa serekali kwa asilimia kubwa, na kuna vyuo kibao so sijaona walevi kule MKUU
 
Jamaa ve ni mburasi tena ni kshohoia kya varim na wesukwa na tena veningete varombo ulwajua wapi ww?
Vitu vingi natusingisia mfano kurudisha wake vijijini sio hivi sasa bana labda enzi zileeee
 
Fanya kazi wewe unawaza miskule tu
Kwani hujui wizi unakufanya upate hela mapema? Japo sio fani ya wengi wengi unakuta wamesota miaka 10-15 ndio anakua tajiri
 
Unamichwa wewe.... hao warombo kama kweli ivi nlipata wasaa wa kuwa kule kama mwezi jamaa wa hela mingi sana... kiufupi walinitisha
Kua na adabu wewe wamezidi wakinga fanya kazi upate hela we unawaza misukule tu utajiri wa misukule haurithiwi akifa MTU wa aina hiyo basii na familia yote inakua maskini
 
7. WAKIRUA wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe..

Hawa Wahaya ... dah, kumbe wanasifika kwa wachawi?
 
Fanya kazi wewe unawaza miskule tu
Kwani hujui wizi unakufanya upate hela mapema? Japo sio fani ya wengi wengi unakuta wamesota miaka 10-15 ndio anakua tajiri
siwazi misukule bro, huwa nasikiaga hiyo mambo huko ndio nimeuliza, mi ninafanya kazi na nina dira nzuri tu
 
We utafiti wako umeutoa wapi, na hujatoa reference kama muandikaji report aliyesoma na kuelimika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…