Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
wachaga,wanyaturu wengi wao haragwe limekatwa
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.
Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?
Tujadili.
ata mimi nimembonyeza housegirl hapa nyumba ni mchaga na memory card imechomolewa haipo.
Ukisika Paaa gizani tambua.......Mtambuzi kapita lol!Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
ata mimi nimembonyeza housegirl hapa nyumba ni mchaga na memory card imechomolewa haipo.