Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
- Thread starter
-
- #21
Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
Wewe wameshakukeketa?
Mpaka wa leo nimeshalamba wachaga si chini ya 9 na sijakutana hata na mmoja aliyekeketwa. Mimi wasiwasi wangu ni jinsia yako. Iweje ukayajadili haya na wamama wa4 wa kichaga na kuuita huo ni uchunguzi.
wewe ndo utakua umekeketwa KOTEKOTE...mm nina mke mchaga ki-bean kipo...of all tribes...ukaangukia uchagani?...umekwisha...subiri mvua iishe!
Mama yako labda ndio amekeketwa.
Mama yako labda ndio amekeketwa.
Kuna documentary moja ya mdada mmoja hivi wakimarekani ambaye baba yake ni mchaga anaitwa Kimaro kama sikosei na mama yake ni mkorea ya kusini!Documentary yake inahusu maisha ya wanawake wakichaga,hili la ukeketaji alilitaja pia miongoni mwa ukatili wa aina nyingi wanaokutana nao wanawake wa kichaga!!Lakini sidhani kama mpaka leo wanakeketa!!
wachagga wa eneo moja la kibosho....maeneo ya kifuni..na umbwe...kule kibosho juu (sijui kama ni wakibosha wote)wanakeketa mabinti....hili nimelishuhudia mwenyewe wakati nikifanya tafiti juu ya jambo hili....niliamua kwenda kibosho umbwe mpaka kifuni..kutafiti na nikakuta ni kweli mabinti wa kule wanakeketwa...tena binti kabla hajaanza ngono lazima akeketwe...sema wao hawakati sana kama wanavyofanya wasomali......wao wakibosho wanakata clitoris(harage)....Sijui sasa kama hii mila inaendelea bado kule baada ya kelele nyingi kupigwa miaka ya karibuni maana tafiti hii nilifanya miaka ya 1992-1993(ulikuwa na umri gani hapa wewe?).......Una kichaa? Au unaripoti toka kuzimu? Hao wanawake ni wa hapa duniani au ni wa huko ulipo kuzimu?
hahahahahahahahah......! Angalia kisije kikawa kipo robo na hujaona. Vip hasumbui kihisia na mchaka mchakachinja anaiweza?
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.
Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?
Tujadili.
Poleni jamani kumbe wanawake wana memorycard ckujua je za GB ngapi? Nami nahitaji