Wachaga wakeketaji mahiri!

We **** nini.... Itakuwa we ndio umekatwa nyuma na mbele men! Pole sana na km vipi kajibandike cha mchina, wachaga wa sasa hawajuimambo hayo, tena koma ukomae
 
Nikiwa primary in the late 80's ilikuwepo hii kitu lakini kwa sasa imeachwa kabisa,uchaggani napotokea sasa cjui kwingine kama inaendelea wachagga ni veyry understanding people nina wasiwasi kama iko sehemu bado inapractice hii kitu baada ya zile campaign zote against fgm
 

Thanks mkuu. Sijui wenyewe watasemaje? nadhani sasa mashambulizi yatapungua kwangu nawe watakuanza na wasema kweli wengine.
 

Aiseee chaliii angu tupoooo! Umemsahau na nanihiiii,kileo alikuwepoo! Tarimo alikuwepooo! Urasa alikuwepoooo! Shirima alikuwepoooo! Ye woooooomi kiki elanyie!
 
Thanks mkuu. Sijui wenyewe watasemaje? nadhani sasa mashambulizi yatapungua kwangu nawe watakuanza na wasema kweli wengine.

hii kitu ilikuwepo but not exist now,imeisha baada ya kampeniza fgm kushamimiri.that the truth.
 
mbona JF kuna chuki kubwa sana dhidi ya wachagga
 
Ok! Mama Labda we ndo unajua mimi sasa ntajuaje jamani? Thank u kwa taarifa lkn ye si mchagga jamani ila mama yako ni mchagga na wewe pia! Mtwambie.

Mbona mama yako kakeketwa na siyo mchaga?!
 
Tabia ya kukeketa wanawake ipo kwa kiasi kikubwa wilaya ya Rombo. Hivyo ukichukua mwanamke kutoka rombo kuna uwezekano mkubwa akawa amekeketwa.
 
Mbona wakurya na wamasai wanakeketa hamleti thread hapa? Wenzenu wanadumisha mila nyie mnaona ajabu siyo? As long as hawakukeketi wewe let them go on with their stuff.
 
inawezekana unatembea na vibibi kizee tena wanywa gongo na wameshakuja ili wakupate lazima wajifanye wachaga.
 
sikatai kuwa wengi walikeketwa but kiukweli not nowadays bana. Zamani ilifanyika na ilikuwa ni lazima vinginevyo walikuwa wanatengwa wasingeolewa.. siku hizi hakunaga
 
sikatai kuwa wengi walikeketwa but kiukweli not nowadays bana. Zamani ilifanyika na ilikuwa ni lazima vinginevyo walikuwa wanatengwa wasingeolewa.. siku hizi hakunaga
Kweli mkuu makabila mengi hapo miaka ya nyuma walikuwa wakikeketa ila hayo mambo yamepungua miaka ya hivi karibuni. Ila ukigonga wenye miaka 40 na kuendelea lazima utaikosa memory card! Makabila kama wapare, wachaga, wagogo, wakurya, nk. walikuwa wakikeketa. Kuna wengine wameacha ila wengine wanafanya kwa siri mfano huko Ukuryani na ugogoni.
 
Duh kumbe! ndo maana nina binti mmoja wa kichaga kila nikikitafuta kithimi kiko kwa mbaliii, nikadhani ni maumbile tu,sasa leo umenifungua macho itakuwa hiyo memory card yake imechomolewa
 
Kuna siku watasema wachaga wanatembea uchi, subirini tuu
 
Wewe wameshakukeketa?

Mpaka wa leo nimeshalamba wachaga si chini ya 9 na sijakutana hata na mmoja aliyekeketwa. Mimi wasiwasi wangu ni jinsia yako. Iweje ukayajadili haya na wamama wa4 wa kichaga na kuuita huo ni uchunguzi.

Bro, wewe kweli ni JEMBE! Umelamba 9 na wote ni wachagga. Yaani wewe huwa unalamba Wachagga tu. Kama huwa unachanganya na wengine pia basi utakuwa ni kipanga sana maana hao pia ni wengi! Umepima? Teh teh teh
 
....ndg zangu wanaandamwa kweli hawa.....
Ila hii k2 ni kweli ilikua sana back in a dayz....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…