Wachaga waongo

Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!

MM pia sio mchaga, lakini ni vizuri uwe na heshima kuto-generalize story za kijiweni na marafiki zako halafu unaandika utumbo. Kauli yako ya mwanzo ni upuuzi, lakini kwa vile hapo kwenye red umeuliza ili uelimishwe ndio kisa cha mimi kuchangia. Ni kweli viazi hivyo vipo, vinaitwa viazi vikuu. Nimeambatanisha picha uki-zoom utaona hivyo viazi vina umbo la mviringo ingawa sio smooth. Picha hii nimepiga mwenyewe Kirua Vunjo kule mlimani karibu na Marua.
 
Yuko sahihi ni kiazi hata wazungu wanaita 'air potato'. Ni sahihi vinaliwa na vina radha inakaribiana sana na viazi wa mviringo Angalia hapo utapata maana yake halisi. Muwe na siku njema .
 
Vipo Mkuu kuna aina mbili kuna hivo ni vichungu hatari kila nikijaribu huwa vinanishinda ila vipo haujadanganywa.
 
Yeah bro hajakudanganya vipo kwetu tunaviita "Mamaya",utavipenda zaidi uchemshiwe asubuhi upate na chai ya maziwa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nyie watu wa dar hamjui hata nduu?
 
Ngoja Waje Waenduru
wa MS,
Nawa tag Urassa,Kimaro,
Massawe,Urio,Mallya,
Lema,Lyimo,
 
Siku ukimchukua malaya wa kihaya basi utasema wahaya wote malaya.Ole ole wenu wapumbavu,kwani urith wenu ni kwa vizazi na vizazi
Acha kumdharau hawezi kujishusha kutembea na wahaya bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…