Wachaga wenzangu je kirefu cha MOSHI mnakijua

Wachaga wenzangu je kirefu cha MOSHI mnakijua

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Wachaga wenzangu je kirefu cha MOSHI mnakijua; kama hamkijui ni hiki hapa:-

kirefu cha mji wa MOSHI

M – Mungu
O - Onyesha
S - Sasa
H - Hela
I – Ilipo
Wachaga oyee eeeee!!!!!!1
 
Hii kali! Walau wanamshirikisha Mungu katika kutafuta fedha.
 
Hii kali,
you make my day Mkuu.


Aksante mkuu, leo nilisoma ya BWK thread ikaniuma nikaona nitoe hata cha kurefresh unaweza pata ugonjwa wa moyo kwa kuangalia nchi inavyotafunwa. Infact mchango wako mkuu kwenye ile thread umenitoa machozi.
 
Mkuu, Kisusio ndo damu yenyewe!!


Ha ha ha ha ha December lazima niende nikakitafute na MLASO naruhusiwa kunywa? au ni kwa wazazi tu??? je kitalolo???ngararimo je? my beautiful region what a special dishi.
 
Back
Top Bottom