Mimi sio mchagga ila utashangaa mijitu inavyo chukia hili kabila bila sababu watakuja makashfa kibao na hoja za ajabu ajabu but all in all wachagga wapo juu na miti yenye matunda ndo huandamwa na mawe subiri waje...Kabila ni moja , lenye maeneo 15.
1.Kibong'oto
2. Masama.
3. Machame.
4. Kibosho.
5. uru.
6. Moshi.
7. Vunjo.
8. marangu.
9. kilema
10. Mamba
11. mashati.
12. Useri.
13. Mkuu
14. Mwika.
15. Keni.
Wachagga wanaendeshwa na baraza la wachagga (chagga supreme council).
wachagga walikuwa na mangi mkuu
Post sent using JamiiForums mobile app