Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Buraza kede acha mambo yakoTrue, Aisee hili ni janga,
Wadada wengi WA kimachame upata Sana kigugumizi kujitambulisha Kwa wanaume wanapokua wanaohitaji mahusiano.
Pia mahusiano Yao mengi hukutana na miahale mingi kias kwamba hata awe mwema vipi,
Siku akiteleza Kwa mwenza wake na bwana akaenda kuomba Ushauri,
Ule umachame WA Binti, huhitimisha matokeo ya Ushauri atakaopewa mwanamke.
Kiukweli Hii Sio sawa,
Hawa wadada tuwahurumie.
Hawakuchagua wao kuzaliwa wamachame
Buzara Kede mbona Wapalestina ni binadamu bora kuliko hata wazayuni?sasa hao wapalestine wa bongo wamekuwa na upungufu wa uelewaa?Wachagga wa asili ya machame wameamua kupanda madhabauni kumlilia mungu wao na kukemea wale wote wanaowafananisha na wapalestina.
View: https://youtu.be/5IeJt2A6-Gc?si=xfpvD_Hp2To-DNDg
Ukabila haujawahi muacha mtu salama
sana aisee
true. kiujumla knjaro na chugga akili ya demu ni GB 200 hakuna mzembe hapo. dume ukikaa kizembe utachezea vitasa hadi akili ikae sawa.Wadada wengi WA kimachame upata Sana kigugumizi kujitambulisha Kwa wanaume wanapokua wanaohitaji mahusiano.