Wachagga wamewezaje kuulinda Mlima Kilimanjaro hadi Leo haujakodishwa kwa Wawekezaji? Mikoa ya Kusini kajifunzeni uchaggani!

Wachagga wamewezaje kuulinda Mlima Kilimanjaro hadi Leo haujakodishwa kwa Wawekezaji? Mikoa ya Kusini kajifunzeni uchaggani!

Angalia akili zenu zilivyo.....
 
Attachments

  • 5952871-cb595e9f65609b02b7fdd599d6478bc3.mp4
    3.6 MB
naona ule wimbo wa mbona wachaga mbona wachaga umeanza tena humi jf since 2012 ni wachaga wachaga blah blah kibao
 
Kwenye ulinzi wa Rasilimali zao Wachagga wanapaswa kupongezwa kwa kweli

Tofauti na Usukumani walikoachiwa Mashimo matupu migodini

Ahsanteni sana 😄

Kwako Lucas Mwashambwa 😂
1739645861728.png
 
Back
Top Bottom