maestro naye mchambuz au mtangazaj wa habar za spot,jifunze kutofautsha kijana
Kwangu mimi mchambuzi bora ni yule anayekuwa na TBC anaitwa Kashasha kama sikosei. Huyu mtu yuko very technical na very knowlegeable.
maestro naye mchambuz au mtangazaj wa habar za spot,jifunze kutofautsha kijana
Hapo Wachambuzi Ni Wawili Tu Dr. Leakey Abdallah Na Haji Manara Waliobaki Ni Waganga Njaa Tu Na Watangazaji Wa Kisanii Tupu.
dr leaky,tena huyu atumiwe watu awe anatupa timu tano za uhakika tumle muhindi.
Shaffih mnazi wa Simba....
Mtoe shaffii na mzee ricky awe watano
haji manara dr leaky jeff leya edo kumwembe na shaffii dauda
Sifa ya msingi kabisa ya mchambuzi Ni kuwa objective kitu ambacho huyu dogo hakiwezi kabisaa..akifanya uchambuzi unaohusu Simba na Man United ndo utamjua Yuko very subjectiveToa Shaffihdauda na Maestro hapo! Weka Jeff Leah